Eneo bunge la Nyaribari Chache


Eneo bunge la Nyaribari Chache ni jimbo la uchaguzi nchini Kenya, moja kati ya majimbo tisa ya Kaunti ya Kisii.

Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Historia hariri

Lilianzishwa wakati wa Uchaguzi wa 1988.

Wabunge hariri

Mwaka wa Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1988 Andrew John Omanga KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1992 Simeon Nyachae KANU
1997 Simeon Nyachae KANU
2002 Simeon Nyachae Ford-People
2007 Robert Onsare Monda NARC

Wodi hariri

Wodi
Wodi Wapiga Kura waliojiandikisha Utawala wa Eneo
Bobaracho 5,010 Munisipali ya Kisii
Central 7,049 Munisipali ya Kisii
Ibeno / Keumbu 19,383 Gusii county
Kanga Hill 2,862 Munisipali ya Kisii
Kegati 3,798 Gusii county
Kiogoro 6,226 Gusii county
Nyansira 1,285 Keroka (Mji)
Nyaura 5,801 Munisipali ya Kisii
Jumla 51,414
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia hariri

Marejeo hariri