Jimbo la Vallée du Bandama


Jimbo la Vallée du Bandama (kwa Kifaransa: District de la Vallée du Bandama) ni moja kati ya majimbo 14 za nchini Cote d'Ivoire. Iko kitovu cha nchi[1].

Jimbo la Vallée du Bandama
Jimbo la Vallée du Bandama is located in Côte d'Ivoire
Jimbo la Vallée du Bandama
Jimbo la Vallée du Bandama

Eneo katika Côte d'Ivoire

Majiranukta: 8°16′13″N 4°56′42″W / 8.27028°N 4.94500°W / 8.27028; -4.94500
Nchi Bendera ya Côte d'Ivoire Cote d'Ivoire
Jimbo Vallée du Bandama
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 1,440,826[1]

Mwaka 2014, (Sensa ya Cote d'Ivoire ya 2014) idadi ya wakazi ilikuwa watu 1,440,826[1].

Makao makuu yako Bouaké.

Mikoa hariri

Marejeo hariri

  1. 1.0 1.1 1.2 "Districts of Côte d'Ivoire (Ivory Coast)". Statoids.com. Iliwekwa mnamo 12 Juni 2019.