Johann Deisenhofer

Johann Deisenhofer (amezaliwa 30 Septemba 1943) ni mwanakemia kutoka nchi ya Ujerumani akiwa amefanya kazi nchini Marekani tangu mwaka wa 1988. Hasa alichunguza elimu ya fuwele. Mwaka wa 1988, pamoja na Robert Huber na Hartmut Michel alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

mchoro wa usanisinuru katika utando
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Johann Deisenhofer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.