Johannes Georg Bednorz (amezaliwa 16 Mei 1950) ni mwanafizikia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alichunguza mambo ya upitishaji wa hali ya juu. Mwaka wa 1987, pamoja na Karl Alexander Müller alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Johannes Georg Bednorz (2009)
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Johannes Bednorz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.