John William "Trane" Coltrane (23 Septemba 192617 Julai 1967) alikuwa mwanamuziki wa Marekani. Alikuwa anapiga muziki ya jazz. Mwaka wa 2007 alituzwa tuzo maalumu ya Tuzo ya Pulitzer ya Muziki kwa kazi ya maisha yake, yaani baada ya kifo chake.

Coltrane, 1963

Muziki hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Coltrane kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.