John Sulston (amezaliwa 27 Machi, 1942) ni mwanabiolojia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza msimbo wa kijenetikia. Mwaka wa 2002, pamoja na Sydney Brenner na Robert Horvitz, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

John Sulston
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Sulston kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.