Joseph Eneojo Akpala (alizaliwa 24 Agosti 1986) ni mchezaji wa soka wa Nigeria anayecheza kama mshambuliaji.

Mafanikio hariri

KV Oostende

  • Kombe la Ubelgiji: Mshindi wa pili 2016–17

Binafsi

  • Mfungaji Bora wa Ligi Kuu ya Ubelgiji: 2007–08 (mabao 16)

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Joseph Akpala kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.