Julen Aguinagalde Akizu (alizaliwa 8 Desemba 1982) ni mchezaji wa mpira wa mikono wa Hispania wa PGE Vive Kielce na timu ya taifa ya Hispania.

Mcheza mpira wa mikono Julen Aguinagalde
Mcheza mpira wa mikono Julen Aguinagalde

Marejeo hariri