Juliana wa Nikomedia

Juliana wa Nikomedia (Nikomedia, leo Izmit nchini Uturuki, 286 hivi - 304 hivi) alikuwa bikira Mkristo aliyefia dini yake kwa kukatwa kichwa katika dhuluma ya kaisari Diocletian akiwa na umri wa miaka 18 hivi alipokataa kuolewa na mtawala Mpagani[1].

Mt. Juliana.
Sanamu ya Mt. Juliana huko Heidelberg, Ujerumani.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 16 Februari[2] au 21 Desemba (kwa Waorthodoksi).

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Vyanzo hariri

  • Mombritius, Sanctuarium, II, fol. 41 v.-43 v.;
  • Acta SS., FEB., II, 808 sqq.;
  • J. P. Migne, P.G. CXIV, 1437–52;
  • Bibliotheca Hagiographica Latina, I, 670 sq.; Bibl. hagiogr. graeca (2nd. ed.), 134;
  • Nilles, Kalendarium manuale, I (2nd ed., Innsbruck, 1896), 359;
  • Mazocchi, In vetus S. Neapolitanae ecclesiae Kalendarum commentarius, I (Naples, 1744), 556-9;
  • Oswald Cockayne, St. Juliana (London, 1872)
  • Vita di S. Giuliana (Novara, 1889);
  • Oskar Backhaus, Ueber die Quelle der mittelenglischen Legende der hl. Juliana und ihr Verhaltnis zu Cynewulfs Juliana (Halle, 1899).

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.