Julie Blakstad

Mchezaji wa soka wa chama cha Norwe

Julie Blakstad (alizaliwa 27 Agosti 2001) ni mchezaji wa mpira wa miguu,kutoka Norwei ambae anacheza kama kiungo wa klabu ya Manchester City inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) na timu ya taifa ya Norwei.[1][2]

Julie Blakstad

Marejeo hariri

  1. Norges Fotballforbund. "Julie Blakstad - Profil". fotball.no - Norges Fotballforbund (kwa Norwegian). Iliwekwa mnamo 2024-04-29. 
  2. "Norway - J. Blakstad - Profile with news, career statistics and history - Soccerway". int.soccerway.com. Iliwekwa mnamo 2024-04-29. 
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Julie Blakstad kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.