Juliet Ibrahim

Mwigizaji wa Ghana

Juliet Ibrahim ni mwigizaji wa Ghana, mtayarishaji wa filamu [1] [2] na mwimbaji [3] mwenye asili ya Lebanon, Ghana na Liberia. Alishinda tuzo ya mwigizaji bora wa kike katika tuzo za Sinema za Ghana za 2010 kwa uhusika wake katika filamu 4. Ametajwa kama "Mwanamke Mrembo Zaidi wa Afrika Magharibi" kulingana na Jarida la A-listers. [4] [5]

Juliet Ibrahim

Maisha ya zamani hariri

Juliet Ibrahim alizaliwa na baba Mlebanon na mama Mghana mwenye asili ya Liberia . Julieth ni mtoto mkubwa katika familia na ana dada wawili akiwemo mwigizaji Sonia Ibrahim. Juliet na ndugu zake walitumia muda mrefu zaidi wa utoto wao huko Lebanon na Ivory Coast kutokana na vita vya wenyewe kwa wenyewe.  Alipata elimu ya msingi nchini Lebanon, kisha akaelekea Ivory Coast kwa elimu ya sekondari ambako aliishi na wazazi wake. Alisoma katika Taasisi ya Lugha ya Ghana, ambapo alisoma Kiingereza, Kifaransa na Kihispania. Pia alisomea masuala ya masoko, Utangazaji na Mahusiano ya Umma katika Taasisi ya Ghana ya Uandishi wa Habari . [6] [7] [8]

Filamu hariri

  • Crime to Christ (2005)
  • In The Eyes of My Husband (2007)
  • Yankee Boys (2008)
  • Losing You (2008)
  • Royal Storm (2009)
  • Restore My Love (2009)
  • Naked Weapon (2009)
  • Dead End (2008)
  • Lost Desire (2008)
  • Bloodfight (2007)
  • Beautiful King (2009)
  • Tattoo Boys (2009)
  • Missing Child (2009)
  • Honor My Will (2008)
  • Cash Adventure (2008)
  • Hidden (2009)
  • Last Hope (DNA test) (2009)
  • Queen's Pride (2009)
  • Enemy of My Soul (2009)
  • Princess Rihanna (2010)
  • Millions (2010)
  • 4play (2010)
  • Master of the Game (2011)
  • Battle of love (2011)
  • 4play reloaded (2010)
  • Crazy Scandal (2010)
  • Beyond love (2010)
  • Marriage of sorrows (2009)
  • 30 Days in Atlanta (2014)
  • Life after Marriage (2014)
  • Number One Fan (2014)
  • Shattered Romance (2015)
  • Teens Life (2015)
  • Anniversary (2015)
  • Black bride (2016)
  • Rough day (2015)
  • Perfect Crime (2017)
  • 10 days in sun city (2016)
  • London Fever (2016)
  • Ladan Noma (2016)
  • Akpe: Return of the Beast (2019)

Tuzo hariri

  • 2010: Tuzo ya Mafanikio – Jarida la City People, Accra
  • 2010: Muigizaji Bora wa Mwaka wa Filamu ya Ghana – Jarida la City People, Lagos
  • 2010: Muigizaji Bora Kiongozi wa Kike katika filamu – Tuzo za Filamu za Ghana
  • 2014: Mwigizaji Bora wa Ghana wa Kike – City People Entertainment
  • 2016: Mwigizaji Bora wa Kike – Tuzo za Starzz

Marejeo hariri

  1. "Juliet Ibrahim Film Number 1 Fan Premieres". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 29 July 2014. Iliwekwa mnamo 25 July 2014.  Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  2. "Juliet Ibrahim film Premieres". thenet.ng. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 23 July 2014. Iliwekwa mnamo 25 July 2014.  Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  3. "New Video: Juliet Ibrahim Feat. Amon – Sholala". EOnlineGH.Com. Iliwekwa mnamo 5 August 2019.  Check date values in: |accessdate= (help)
  4. "Nigerian Magazine names Juliet Ibrahim the Most Beautiful West African Woman". informationng.com. 12 November 2013. Iliwekwa mnamo 25 July 2014.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  5. "Juliet Ibrahim is A Listers Magazine Most Beautiful Woman". bellanaija.com. 6 November 2013. Iliwekwa mnamo 25 July 2014.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  6. "Juliet Ibrahim Biography". royalsignaturegh.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 26 July 2014. Iliwekwa mnamo 26 July 2014.  Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  7. "Juliet Ibrahim Biography". buzzghana.com. 9 May 2014. Iliwekwa mnamo 26 July 2014.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  8. "Juliet Ibrahim Biography". informationng.com. 24 June 2014. Iliwekwa mnamo 26 July 2014.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Juliet Ibrahim kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.