Jumba la Mtwana ni eneo la nchini Kenya lililoko katika pwani ya bahari ya Hindi huko Mtwapa Creek, Malindi katika kaunti ya Kilifi, kaskazini kwa Mombasa.

Gofu la msikiti wa kale

Eneo hilo la kihistoria na kumbukumbu za akiolojia lilianzia katika karne ya 14[1] huku vipengele vyake vikijumuisha na msikiti.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri

3°57′00″S 39°46′00″E / 3.95°S 39.7667°E / -3.95; 39.7667