Jurgita Mačikunytė

Mwamuzi wa Soka wa Lituanya

Jurgita Mačikunytė (alizaliwa 12 Januari, 1984), ni mwamuzi wa mpira wa miguu kutoka nchini Lituanya na mchezaji wa zamani aliyecheza kama golikipa katika timu ya taifa ya wanawake ya Lituanya.[1]

Jurgita Mačikunytė
Maelezo binafsi
Tarehe ya kuzaliwa 12 Januari 1984
Mahala pa kuzaliwa    Lituanya
Nafasi anayochezea Golikipa
Timu ya taifa
Timu ya taifa ya wanawake ya Lituanya

* Magoli alioshinda


Ushiriki kimataifa hariri

Mačikunytė alichezea timu ya wanawake Lituanya wakati wa mchujo wa michuano ya UEFA ya wanawake mwaka 2009.[2][3]

Marejeo hariri

  1. "Lithuania - J. Mačikunytė - Profile with news, career statistics and history - Soccerway". int.soccerway.com. Iliwekwa mnamo 2023-04-15. 
  2. UEFA.com. "Lithuania - WEURO". UEFA.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-04-15. 
  3. "uefa.com - UEFA Women's Cup - Fixtures & Results - Match Specific". web.archive.org. 2007-10-13. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-10-13. Iliwekwa mnamo 2023-04-15. 
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jurgita Mačikunytė kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.