Kaizari Ferdinand II

Ferdinand II (9 Julai 157815 Februari 1637) alikuwa Kaizari wa Dola la Ujerumani kuanzia 1619 hadi kifo chake. Alimfuata binamu yake, Matthias, na kufuatiwa na Ferdinand III.

Kaizari Ferdinand II
Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Ujerumani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kaizari Ferdinand II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.