Publius Licinius Egnatius Gallienus (takriban 218 – Septemba 268) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia Septemba 253 hadi kifo chake. Mpaka mwaka wa 260 alitawala pamoja na baba yake, Kaizari Valerian. Walimfuata Aemilianus.

Kaizari Galienus

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kaizari Galienus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.