Marcus Salvius Otho (25 Aprili 32 - 16 Aprili 69) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kwa miezi michache tu kuanzia 15 Januari, 69 hadi kifo chake. Alimfuata Galba.

Shaba inayoonyesha Kaizari Otho

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kaizari Otho kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.