Sigismund (15 Februari 13689 Desemba 1437) alikuwa Kaizari wa Dola la Ujerumani kuanzia 1410 hadi kifo chake. Alivishwa taji la Kaizari mwaka wa 1433 tu. Alimfuata Rupert, na kufuatiwa na Albert II.

Kaizari Sigismund
Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Ujerumani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kaizari Sigismund kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.