Kana Kitahara (alizaliwa 17 Desemba 1988) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambae alicheza kama beki wa klabu ya wanawake ya Mynavi Sendai Kitahara kwasasa ni kocha mkuu wa klabu ya wanawake ya Albirex Niigata FC (S).[1]

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kana Kitahara kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.