Kandida Maria wa Yesu

Kandida Maria wa Yesu (Andoáin, Gipúzkoa, Hispania, 31 Mei 1845 - Salamanca, Hispania, 9 Agosti 1912) ni jina la kitawa la Juana Josefa Cipitria y Barriol.

Picha yake halisi.
Picha yake halisi.

Mwaka 1871 alianzisha shirika la Mabinti wa Yesu[1] lililowajibika kulea Kikristo watoto na wasichana [2][3][4].

Alitangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa mwenye heri tarehe 12 Mei 1996, na Papa Benedikto XVI kuwa mtakatifu tarehe 17 Oktoba 2010.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe ya kifo chake[5].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.