Kaole
Kaole ni mji mdogo na wa kihistoria unaopatikana katika ufukwe wa bahari ya Hindi, umbali wa maili tatu tu toka Bagamoyo. Ni sehemu ya kihistoria tangu mwanzoni mwa karne ya 13 mpaka karne ya 16.
Mji huu una mabaki, mawe ya zamani, magofu na vitu vingi vya kale. Kunapatikana mabaki ya msikiti wa kale na makaburi 30. [1] Makaburi haya yamejengwa kwa Matumbawe[1]
Marejeo hariri
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kaole kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |