Kara Mbodji (anayejulikana kama Kara tu au Kara Mbodj; alizaliwa 22 Novemba 1989) ni mchezaji wa soka wa Senegal ambaye sasa anacheza katika klabu ya R.S.C. Anderlecht.

Kara Mbodji

Anaweza kutumika kama beki au kiungo mkabaji au kiungo mchezeshaji.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kara Mbodji kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.