Karim Ouellet (8 Desemba 1984 - 15 Novemba 2021) alikuwa mwimbaji na mtunzi wa nyimbo wa pop nchini Kanada mzaliwa wa Dakar, Senegal[1].

Karim Ouellet
Ouellet mnamo mwaka 2013
Ouellet mnamo mwaka 2013
Alizaliwa 8 Desemba 1984
Alikufa 15 Novemba 2021
Nchi Kanada
Kazi yake mwimbaji

Alitoa albamu tatu kati ya 2011 na 2016, Albamu yake ya pili Fox ilishinda Tuzo la Juno mnamo 2014.

Marejeo hariri

  1. "15e édition des Francouvertes, 2011". Les Francouvertes. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-08-13. Iliwekwa mnamo January 18, 2022.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); Check date values in: |accessdate= (help)