Karinthia (kwa Kijerumani: Kärnten, kwa Kislovenia: Koroška, kwa Kikroatia: Koruška) ni moja ya majimbo 9 ya kujitawala ya Austria lenye wakazi 559.000 kwenye eneo la km² 9.364.

Mahali pa Karinthia katika Austria
bendera ya Karinthia

Mji mkuu ni Klagenfurt am Wörthersee. Waziri mkuu ni Peter Kaiser (SPÖ).

Jiografia hariri

Karinthia imepakana na majimbo ya Austria ya Tirol, Salzburg na Steiermark.

Miji mikubwa ni pamoja na Klagenfurt na Villach.

Drava na Gurk ndiyo mito muhimu zaidi.

Picha za Karinthia hariri

Tovuti za Nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


 
Majimbo ya Austria
 
Austria Chini (Niederösterreich)Austria Juu (Oberösterreich)BurgenlandKarinthia (Kärnten)SalzburgSteiermarkTirolVienna (Wien)Vorarlberg
  Makala hii kuhusu maeneo ya Austria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Karinthia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.