Kars (kutoka Kiarmenia: Ղարս "Ghars" au Կարս "Kars", Kituruki cha Azerbaijani: Qars) ni mji uliopo kaskazini-mashariki mwa nchi ya Uturuki. Huu ni mji mkuu wa Jimbo la Kars.

Maeneo ya Kars

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, idadi ya wakazi imefikia kiasi cha 130,361.

Marejeo hariri

Viungo vya Nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kars kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.