Katani Ahmadi Katani

Katani Ahmadi Katani (amezaliwa 8 Mei 1979) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Civic United Front (CUF). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Tandahimba kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo hariri

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Juni 2017