Kathy Kraninger

Mwanasiasa

Kathleen Laura Kraninger (alizaliwa Desemba 28, 1974) ni afisa wa serikali ya Marekani ambaye alihudumu kama mkurugenzi wa Ofisi ya Ulinzi wa Kifedha ya Watumiaji (CFPB) kuanzia Desemba 11, 2018, hadi alipojiuzulu Januari 20, 2021.[1] Kabla ya hapo, alihudumu katika Ofisi ya Usimamizi na Bajeti ya White House wakati wa utawala wa Trump. [2][3][4][5]

Mkurugenzi wa 2 wa Ofisi ya Ulinzi wa Kifedha kwa Watumiaji
Mkurugenzi wa 2 wa Ofisi ya Ulinzi wa Kifedha kwa Watumiaji

Marejeo hariri

  1. "Senate confirms Trump nominee Kraninger to lead consumer bureau". POLITICO (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-08-12. 
  2. "Privacy". www.usgovernmentmanual.gov. Iliwekwa mnamo 2022-08-12. 
  3. Derek Kravitz,Al Shaw,Claire Perlman (2018-03-07). "Kathleen Kraninger | Trump Town". ProPublica (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-08-12. 
  4. "Kathleen L. Kraninger | C-SPAN.org". www.c-span.org. Iliwekwa mnamo 2022-08-12. 
  5. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-06-17. Iliwekwa mnamo 2022-08-12.