Katori (香取市, Katori-shi) ni mji wa Japani katika mkoa wa Chiba. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2010, mji una wakazi wapatao 83,000 wanaoishi katika mji huu. Eneo lake ni 262.31 km².

Katori
Faili:Flag of Katori, Chiba.png
Bendera
Katori is located in Japan
Katori
Katori

Mahali pa Katori katika Japani

Majiranukta: 35°53′00″N 140°29′00″E / 35.88333°N 140.48333°E / 35.88333; 140.48333
Nchi Japani
Mkoa Chiba
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 82,602
Tovuti:  http://www.city.katori.chiba.jp/
Mji wa Katori,Chiba
Muonekano wa sikukuu ya Sawara inayofanyika Julai na Oktoba Mjini Katori

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Japani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Katori, Chiba kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.