Kazeem Ojo Aderounmu

Kazeem Ojo Aderounmu (alizaliwa 10 Januari 2000) ni mwanasoka wa kulipwa kutoka Nigeria ambaye anacheza kama Mshambuliaji wa klabu ya A Lyga ya DFK Dainava.

Kazeem Ojo Aderounmu

Ushiriki katika Klabu hariri

FK Ventspils Kazeem Baada ya kuichezea klabu ya Real Sapphire ya Nigeria, Aderounmu alisaini mkataba na klabu ya FK Ventspils ya Ligi ya Juu mnamo Januari 2020 kwa mkataba wa urefu usiojulikana.

DFK Dainava Mnamo Julai 2021, Aderounmu alihamishia klabu ya DFK Dainava ya Lithuanian A Lyga katika msingi wa kudumu wa kutia saini mkataba wa miaka minne na klabu hiyo. [1][2][3][4]

Ushiriki Kimataifa hariri

Kazeem Pia aliitwa katika kikosi cha Nigeria U17 wakati wa mechi mbili za kirafiki zilizochezwa Abuja mnamo 2016.

Marejeo hariri

  1. "ALYTAUS „DAINAVĄ“ PAPILDĖ KAZEEM ADEROUNMU" (kwa Lithuanian). dfkdainava.com. 
  2. "Kazeem Aderounmu Profile" (kwa Lithuanian). lietuvosfutbolas.lt. 
  3. "K. Aderounmu: apie šiurpią traumą, pirmąjį trofėjų ir komandinius tikslus" (kwa Lithuanian). alyga.lt. 
  4. "Players of DFK Dainava Profile" (kwa Lithuanian). dfkdainava.com. 

Viungo Vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kazeem Ojo Aderounmu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.