Kelidona (Cicoli, Abruzzi, Italia, 1077 hivi - Subiaco, Lazio, Italia, 13 Oktoba 1152) alikuwa bikira Mkristo aliyeishi miaka 52 kama mkaapweke karibu na monasteri ya Wabenedikto ya Subiaco[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.