Kerugoya ni mji wa Kenya ya Kati, makao makuu ya kaunti ya Kirinyaga. Ni kata ya Eneo bunge la Kirinyaga ya Kati[1].

Ramani


Kerugoya
Nchi Kenya
Kaunti Kirinyaga
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 34,014

Wakati wa sensa ya mwaka 2009 ulikuwa na wakazi 34,014[2].

Tanbihi hariri

  1. Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency Archived Septemba 29, 2007, at the Wayback Machine
  2. Sensa ya Kenya 2009 Archived 9 Januari 2019 at the Wayback Machine., tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009.