Khadija Nassir Ali

Mwanasiasa wa Tanzania

Khadija Nassir Ali (amezaliwa tarehe 28 Juni 1990) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti Maalumu vya Wanawake kwa miaka 20152020. [1] Amehitimu katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania [1]

Marejeo hariri

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017