Kharkiv

(Elekezwa kutoka Kharkov)

Kharkiv (jina la Kiukraine; kwa Kirusi: Ха́рьков, Kharkov) ni mji wa pili kwa ukubwa nchini Ukraine. Iko kaskazini mwa Ukraine. Ni mji wa elimu, taasisi za kisayansi, viwanda vingi na kitovu cha njia za usafiri.

Mji ulianzishwa mwaka 1655. Idadi ya wakazi ilikuwa 1,449,000 mwaka 2010.

Marejeo hariri

Tovuti za Nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kharkiv kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.