Kiaasax ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Tanzania inayozungumzwa na Waassa. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kiaasax imehesabiwa kuwa watu 350 tu, maana yake lugha imekaribia kutoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiaasax kiko katika kundi la Kikushi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiaasax kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.