Kiabua ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waabua. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiabua iko katika kundi la Cross River.

Sanaa ya kinyago cha Kiboko, moja ya sanaa za kabila la Waabua.

Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kiabua ilihesabiwa kuwa watu 25,000.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiabua kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.