Kiaghu-Tharnggala (pia Kiaghu-Tharnggalu) ilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Waaghu-Tharnggala kwenye rasi ya Cape York katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiaghu-Tharnggala ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiaghu-Tharnggala iko katika kundi la Kipama cha Rarmul.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiaghu-Tharnggala kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.