Kiaka-Cari ilikuwa lugha ya Kiandamani nchini Uhindi iliyozungumzwa na Wacari visiwani mwa Andaman. Mwaka 1994 kulikuwa na wazee wa kike wawili walioweza kuongea Kicari lakini siku hizi hakuna wasemaji wa Kiaka-Cari tena yaani lugha imetoweka kabisa.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiaka-Cari kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.