Kiambae-Mashariki ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vanuatu inayozungumzwa na Waambae kwenye kisiwa cha Ambae. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kiambae-Mashariki imehesabiwa kuwa watu 5000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiambae-Mashariki iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiambae-Mashariki kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.