Kiasoa ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Waasoa. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiasoa imehesabiwa kuwa watu 25,500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiasoa iko katika kundi la Kimangbetu.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiasoa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.