Kiassangori (pia Kisungor) ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Chad inayozungumzwa na Wasungor. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kiassangori imehesabiwa kuwa watu 23,500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiassangori iko katika kundi la Kisudani-Mashariki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiassangori kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.