Kibai ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Sudan Kusini inayozungumzwa na Wabai. Mwaka wa 1971 idadi ya wasemaji wa Kibai imehesabiwa kuwa watu 2500 wakati walianza kubadilisha lugha yao, maana yake inawezekana kuwa lugha ya Kibai imekaribia kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibai iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.