Kibaloi ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wabaloi. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kibaloi imehesabiwa kuwa watu 20,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibaloi iko katika kundi la C40.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibaloi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.