Kibasaa ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Wabasaa. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kibasaa imehesabiwa kuwa watu 230,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibasaa iko katika kundi la A40.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibasaa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.