Kibenga ni lugha ya Kibantu nchini Guinea ya Ikweta na Gabon inayozungumzwa na Wabenga. Mwaka wa 1995, idadi ya wasemaji ya Kibenga nchini Guinea imehesabiwa kuwa watu 3000; na mwaka wa 2004 idadi nchini Gabon imehesabiwa kuwa watu 1100. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibenga iko katika kundi la A30.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibenga kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.