Kibhele ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wabhele. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kibhele imehesabiwa kuwa watu 15,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibhele iko katika kundi la D30.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibhele kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.