Kibidyogo (pia Bijago) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Guinea-Bisau inayozungumzwa na Wadyogo. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kibidyogo imehesabiwa kuwa watu 29,900. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibidyogo iko katika kundi la Kiatlantiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibidyogo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.