Kibiito ni mji katika Mkoa wa Magharibi mwa Uganda. Ni eneo kuu la utawala wa wilaya ya Bunyangabu na makao makuu ya wilaya yako hapo.[1][2]

Mahali pa Uganda Kibiito katika ramani ya Uganda kama ambavyo inaonekana kwa majiranukta 00°28′39″N 30°11′33″E / 0.47750°N 30.19250°E / 0.47750; 30.19250

Marejeo hariri

  1. Basiime, Felix (3 Machi 2017). "Kabarole budgets Shs12 billion for new Bunyangabu District". Daily Monitor. Kampala. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-08-12. Iliwekwa mnamo 12 Agosti 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Kajubu, Emmanuel (3 Julai 2017). "Pictorial: Bunyangabu District Interim LCV Chairperson Elections". Kampala. Iliwekwa mnamo 12 Agosti 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)