Kibila ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wabila. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kibila imehesabiwa kuwa watu 40,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibhele iko katika kundi la D30.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibila kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.