Kibingo ni mji ulioko katika Mkoa wa Magharibi huko Uganda. Ni mahali pa makao makuu ya wilaya ya Sheema.

Mahali pa Kibingo katika ramani Uganda Kama ambavyo inaonekana kwa majiranukta 00°34′12″S 30°24′54″E / 0.57000°S 30.41500°E / -0.57000; 30.41500

Mahali hariri

Kibingo uko kwenye barabara kuu ya Mbarara - Bushenyi, takribani kilomita 31 (maili 19), kwa barabara, magharibi mwa Mbarara, jiji kubwa zaidi katika mkoa mdogo wa Ankole.[1]

Marejeo hariri

  1. GFC, . (5 July 2015). "Map Showing Mbarara And Kibingo With Route Marker". Globefeed.com (GFC). Iliwekwa mnamo 5 July 2015.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)