Kibisa

(Elekezwa kutoka Kibissa)

Kibisa ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Burkina Faso, Ghana na Cote d'Ivoire inayozungumzwa na Wabisa. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kibissa nchini Burkina Faso imehesabiwa kuwa watu 350,000. Pia kuna wasemaji 166,000 nchini Ghana (2003), 63,000 nchini Cite d'Ivoire (Wabissa wahamiaji tu) na 3000 nchini Togo. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibissa iko katika kundi la Kimande.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibisa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.