Kibomitaba ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kongo inayozungumzwa na Wabomitaba. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kibomitaba nchini Kongo imehesabiwa kuwa watu 9600. Pia kuna wasemaji 220 nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibomitaba iko katika kundi la C20.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibomitaba kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.